Ufafanuzi msingi wa asili katika Kiswahili

: asili1asili2asili3

asili1

nominoPlural asili

 • 1

  mwanzo wa mtu au kitu.

  kindakindaki, chanzo, chimbuko, awali

 • 2

  tabia ya mtu aliyozaliwa nayo.

 • 3

  kiini cha jambo; kitu cha awali.

  ‘Mali ya asili’
  msingi, usuli

Asili

Kar

Matamshi

asili

/asili/

Ufafanuzi msingi wa asili katika Kiswahili

: asili1asili2asili3

asili2

nominoPlural asili

Hesabu
 • 1

  Hesabu
  asili ya sehemu, kigawanyo k.m. nne katika ¾.

Asili

Kar

Matamshi

asili

/asili/

Ufafanuzi msingi wa asili katika Kiswahili

: asili1asili2asili3

asili3 , asilia

kivumishi

Asili

Kar

Matamshi

asili

/asili/