Ufafanuzi wa asilimia katika Kiswahili

asilimia

nomino

  • 1

    kwa kila mia moja; %.

    ‘Asilimia ishirini’

Asili

Kar

Matamshi

asilimia

/asilimija/