Ufafanuzi wa askari katika Kiswahili

askari

nomino

  • 1

    mtu anayelinda na kuihami nchi.

    mwanajeshi

  • 2

    ‘Askari polisi’
    mlinzi

Asili

Ktu