Ufafanuzi msingi wa askari wa mgambo katika Kiswahili

: askari wa mgambo1Askari wa mgambo2

askari wa mgambo1

  • 1

    askari wa kujitolea anayelinda watu na mali zao.

Ufafanuzi msingi wa askari wa mgambo katika Kiswahili

: askari wa mgambo1Askari wa mgambo2

Askari wa mgambo2

  • 1

    askari wa akiba ambaye amepata mafunzo ya kijeshi kwa ajili ya ulinzi wa taifa lakini ambaye hafanyi kazi jeshini.