Ufafanuzi wa asubuhi katika Kiswahili

asubuhi

nominoPlural asubuhi

  • 1

    mwanzo wa siku; jua lichomozapo.

    che, alfajiri, bukrata, macheo, mapambazuko

Asili

Kar

Matamshi

asubuhi

/asubuhi/