Ufafanuzi wa asusa katika Kiswahili

asusa

nominoPlural asusa

  • 1

    kitu chochote k.v. karanga, korosho, nyama iliyochomwa, n.k. kinacholiwa wakati k.v. wa burudani.

Matamshi

asusa

/asusa/