Ufafanuzi wa atamia katika Kiswahili

atamia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    kalia au lalia mayai kama afanyavyo kuku au ndege ili kuyapa joto mpaka yatotoe.

    lalia

Matamshi

atamia

/atamija/