Ufafanuzi msingi wa atia katika Kiswahili

: atia1atia2

atia1

nominoPlural atia

  • 1

    kitu anachopewa mtu.

    zawadi

Asili

Kar

Matamshi

atia

/atija/

Ufafanuzi msingi wa atia katika Kiswahili

: atia1atia2

atia2

nominoPlural atia

  • 1

    neema anayojaaliwa mtu kuwa nayo.

    kipawa

Asili

Kar

Matamshi

atia

/atija/