Ufafanuzi wa atibu katika Kiswahili

atibu

kitenzi elekezi

  • 1

    toa makosa.

    laumu, kengemeka, shutumu, aili

Asili

Kar

Matamshi

atibu

/atibu/