Ufafanuzi msingi wa atlasi katika Kiswahili

: atlasi1atlasi2

atlasi1

nominoPlural atlasi

  • 1

    namna ya nguo laini inayong’aa.

Asili

Kar

Matamshi

atlasi

/atlasi/

Ufafanuzi msingi wa atlasi katika Kiswahili

: atlasi1atlasi2

atlasi2

nominoPlural atlasi

  • 1

    kitabu cha ramani.

Asili

Kng

Matamshi

atlasi

/atlasi/