Ufafanuzi msingi wa atomu katika Kiswahili

: atomu1atomu2

atomu1

nominoPlural atomu

  • 1

    chembe ndogo kabisa ya kitu chochote.

Asili

Kng

Matamshi

atomu

/atɔmu/

Ufafanuzi msingi wa atomu katika Kiswahili

: atomu1atomu2

atomu2

nominoPlural atomu

Fizikia
  • 1

    Fizikia
    sehemu ndogo ya elementi yenye chaji hasi na inayozunguka kiini katika mzunguko maalumu.

Asili

Kng

Matamshi

atomu

/atɔmu/