Ufafanuzi wa atua katika Kiswahili

atua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    shtua, agh. kwa taarifa ya kutisha k.v. kifo.

    ‘Habari ya kifo chake imeniatua moyo’

Matamshi

atua

/atuwa/