Ufafanuzi wa au katika Kiswahili

au

kiunganishi

  • 1

    neno la kuonyesha jambo mojawapo kati ya mawili yaliyohusika.

    ‘Chukua hiki au kile’
    ama

Asili

Kar

Matamshi

au

/awu/