Ufafanuzi msingi wa aua katika Kiswahili

: aua1aua2aua3

aua1

kitenzi elekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~liana

 • 1

  chunguza kwa makini.

  kagua

 • 2

  fuata kwa makini.

  ‘Aua nyayo’

Ufafanuzi msingi wa aua katika Kiswahili

: aua1aua2aua3

aua2

kitenzi elekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~liana

 • 1

  weka mipaka; pima shamba.

  ‘Aua shamba’
  topoa

Ufafanuzi msingi wa aua katika Kiswahili

: aua1aua2aua3

aua3

kitenzi elekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~liwa, ~liana

 • 1

  toa matunda.

  zaa

Matamshi

aua

/awuwa/