Ufafanuzi msingi wa auka katika Kiswahili

: auka1auka2auka3auka4

auka1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa

 • 1

  shika moto kwa kuni au makaa.

  ‘Makaa yameauka’

Matamshi

auka

/awuka/

Ufafanuzi msingi wa auka katika Kiswahili

: auka1auka2auka3auka4

auka2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa

 • 1

  fika muda maalumu uliowekwa.

Matamshi

auka

/awuka/

Ufafanuzi msingi wa auka katika Kiswahili

: auka1auka2auka3auka4

auka3

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa

Matamshi

auka

/awuka/

Ufafanuzi msingi wa auka katika Kiswahili

: auka1auka2auka3auka4

auka4

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iana, ~iwa

 • 1

  (kwa mimea) fika kiwango cha kutoa matunda.

Matamshi

auka

/awuka/