Ufafanuzi msingi wa aula katika Kiswahili

: aula1aula2

aula1

nominoPlural aula

  • 1

    kazi au mipango inayopewa umuhimu wa kwanza kushughulikiwa.

    kipaumbele

Asili

Kar

Matamshi

aula

/awula/

Ufafanuzi msingi wa aula katika Kiswahili

: aula1aula2

aula2

kivumishi

Asili

Kar

Matamshi

aula

/awula/