Ufafanuzi wa aunsi katika Kiswahili

aunsi

nominoPlural aunsi

  • 1

    kipimo cha uzito kilicho sawa na gramu 28.35 au 1/16 ya ratili.

    wakia

Asili

Kng

Matamshi

aunsi

/awunsi/