Ufafanuzi wa awamu katika Kiswahili

awamu

nomino

  • 1

    kipindi maalumu katika utendaji wa jambo fulani.

    ‘Awamu ya pili itakuwa ni utengenezaji wa dawa za sindano’
    zama

Asili

Kar

Matamshi

awamu

/awamu/