Ufafanuzi msingi wa ayari katika Kiswahili

: ayari1ayari2

ayari1

nominoPlural ayari

 • 1

  mtu mdanganyifu.

  mwongo, laghai, mzushi, mjanja, kanda

Asili

Kar

Matamshi

ayari

/ajari/

Ufafanuzi msingi wa ayari katika Kiswahili

: ayari1ayari2

ayari2

nominoPlural ayari

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  kamba ya nanga au ya kutwekea tanga iliyotiwa katika roda.

  ‘Ayari za mbele’
  sharti

Asili

Kar

Matamshi

ayari

/ajari/