Ufafanuzi wa azali katika Kiswahili

azali

kivumishi

  • 1

    -siokuwa na mwanzo; -a zamani sana.

Asili

Kar

Matamshi

azali

/azali/