Ufafanuzi msingi wa azizi katika Kiswahili

: azizi1azizi2azizi3

azizi1

nominoPlural azizi

 • 1

  kitu cha thamani.

  ‘Kitu hiki ni azizi kwangu’
  tunu, adia, hiba, zawadi

Asili

Kar

Matamshi

azizi

/azizi/

Ufafanuzi msingi wa azizi katika Kiswahili

: azizi1azizi2azizi3

azizi2

kivumishi

 • 1

  -a thamani; -a tunu.

  bora

Asili

Kar

Matamshi

azizi

/azizi/

Ufafanuzi msingi wa azizi katika Kiswahili

: azizi1azizi2azizi3

azizi3 , laazizi

nominoPlural azizi

 • 1

  mpenzi wa kike au kiume.

  mpenzi, muhibu

 • 2

  mwandani

Asili

Kar

Matamshi

azizi

/azizi/