Ufafanuzi msingi wa baba katika Kiswahili

: baba1baba2

baba1

nominoPlural baba

 • 1

  mzazi mwanamume.

  abu

 • 2

  mvulana aliyefika umri wa ubarubaru.

  ‘Huyu si mtoto tena, ni baba mzima’

Matamshi

baba

/baba/

Ufafanuzi msingi wa baba katika Kiswahili

: baba1baba2

baba2

nominoPlural baba

Kidini
 • 1

  Kidini
  jina la heshima na upendo.

  ‘Baba wa Taifa’
  ‘Baba wa ubatizo’

Matamshi

baba

/baba/