Ufafanuzi wa babadua katika Kiswahili

babadua, babatua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liwa, ~sha

  • 1

    haribu umbo la kitu kwa kukisokotasokota au kukipinda kwa makusudi au kwa ugonjwa.

    nyonga, songonyoa, popotoa, songoa

  • 2

    tenganisha kwa nguvu vitu vilivyoshikamana k.v. magome, utandu, n.k..

    tatanua, papatua

Matamshi

babadua

/babaduwa/