Ufafanuzi wa babaiko katika Kiswahili

babaiko

nominoPlural mababaiko

  • 1

    hali ya kuwa na wasiwasi.

Matamshi

babaiko

/babaIkɔ/