Ufafanuzi msingi wa babaisha katika Kiswahili

: babaisha1babaisha2

babaisha1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~wa, ~ana, ~iana, ~iwa

 • 1

  fanya jambo bila ustadi kwa kutolijua barabara.

  ‘Babaisha Kiingereza’
  babia, bambanya

Matamshi

babaisha

/babaI∫a/

Ufafanuzi msingi wa babaisha katika Kiswahili

: babaisha1babaisha2

babaisha2

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~wa, ~ana, ~iana, ~iwa

 • 1

  fanya mtu awe na wasiwasi.

 • 2

  kanganya, changanya

Matamshi

babaisha

/babaI∫a/