Ufafanuzi wa babata katika Kiswahili

babata

kitenzi elekezi

  • 1

    pigapiga polepole kama mhunzi afanyavyo anapofua chuma.

    kong’ota

Matamshi

babata

/babata/