Ufafanuzi wa babe katika Kiswahili

babe

nominoPlural mababe

  • 1

    jitu kubwa, nene na lenye nguvu.

  • 2

    pandikizi la mtu.

Matamshi

babe

/babɛ/