Ufafanuzi msingi wa babu katika Kiswahili

: babu1babu2babu3babu4babu5

babu1

nominoPlural mababu, Plural babu

 • 1

  baba mzaa baba au mama.

 • 2

  neno la kumtaja mwanamume mzee.

 • 3

  mzee aliyepita, agh. mababu.

Matamshi

babu

/babu/

Ufafanuzi msingi wa babu katika Kiswahili

: babu1babu2babu3babu4babu5

babu2

nominoPlural mababu, Plural babu

 • 1

  kiongozi wa kiume katika kikundi cha umoja wa ngoma za wanawake; mshauri wa kiume katika chama cha wanawake.

  ‘Chama cha maendeleo ya kina mama hakina babu siku hizi’

Matamshi

babu

/babu/

Ufafanuzi msingi wa babu katika Kiswahili

: babu1babu2babu3babu4babu5

babu3

nominoPlural mababu, Plural babu

Matamshi

babu

/babu/

Ufafanuzi msingi wa babu katika Kiswahili

: babu1babu2babu3babu4babu5

babu4

nominoPlural mababu, Plural babu

 • 1

  aina ya kipimo cha kitambaa.

Asili

Kar

Matamshi

babu

/babu/

Ufafanuzi msingi wa babu katika Kiswahili

: babu1babu2babu3babu4babu5

babu5

nominoPlural mababu, Plural babu

kishairi
 • 1

  kishairi sura ya kitabu au buku.

  mlango

Asili

Kar

Matamshi

babu

/babu/