Ufafanuzi wa babuka katika Kiswahili

babuka

kitenzi sielekezi

  • 1

    chubuka ngozi kutokana na maradhi au kuungua.

Matamshi

babuka

/babuka/