Ufafanuzi wa badala katika Kiswahili

badala

kielezi

  • 1

    mahali pa; badili ya; badili.

    ‘Kula nyama badala ya ndizi’

Asili

Kar

Matamshi

badala

/badala/