Ufafanuzi wa badamu katika Kiswahili

badamu

nominoPlural badamu

  • 1

    kiini cha kokwa ya tunda, hususan ya kungu.

    lozi

Asili

Khi

Matamshi

badamu

/badamu/