Ufafanuzi msingi wa badani katika Kiswahili

: badani1badani2

badani1

nominoPlural badani

  • 1

    sehemu ya nyuma na ya mbele ya kanzu.

    kimo

Matamshi

badani

/badani/

Ufafanuzi msingi wa badani katika Kiswahili

: badani1badani2

badani2

nominoPlural badani

kishairi

Asili

Kar

Matamshi

badani

/badani/