Ufafanuzi msingi wa badili katika Kiswahili

: badili1badili2badili3

badili1

kitenzi elekezi

 • 1

  ondoa kitu au mtu na weka kitu kingine au mtu mwingine mahali pake.

  ‘Hii siyo ile meza ya zamani, niliibadili kwa hii’

 • 2

  toa kitu ili kupata kitu kingine.

  ‘Badili pesa vunja fedha’
  ‘Badili nguo’
  ‘Badili zamu’

Asili

Kar

Matamshi

badili

/badili/

Ufafanuzi msingi wa badili katika Kiswahili

: badili1badili2badili3

badili2

kielezi

 • 1

  mahali pa.

  badala

Matamshi

badili

/badili/

Ufafanuzi msingi wa badili katika Kiswahili

: badili1badili2badili3

badili3

kitenzi elekezi

Matamshi

badili

/badili/