Ufafanuzi wa badilisha katika Kiswahili

badilisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    rudisha kitu ulichokichukua awali na kuchukua kingine.

  • 2

    ‘Upasuaji umembadilisha uso wake’
    geuza

Asili

Kar

Matamshi

badilisha

/badili∫a/