Ufafanuzi wa badilisho katika Kiswahili

badilisho

nominoPlural mabadilisho

  • 1

    hali ya kufanya kitu kuwa katika namna nyingine.

Matamshi

badilisho

/badili∫ɔ/