Ufafanuzi wa badiri katika Kiswahili

badiri

nominoPlural badiri

  • 1

    maajabu ya aina mbalimbali; shani na ishara za mbinguni.

  • 2

    mwezi unapong’aa sana.

Asili

Kar

Matamshi

badiri

/badiri/