Ufafanuzi wa bado katika Kiswahili

bado

kielezi

  • 1

    wakati wake haujafika; si tayari.

  • 2

    mpaka sasa.

    ‘Bado unakula tu?’

Matamshi

bado

/badɔ/