Ufafanuzi wa bafe katika Kiswahili

bafe

nominoPlural bafe

  • 1

    aina mojawapo ya nyoka mwenye mate yenye sumu.

    moma

Matamshi

bafe

/bafɛ/