Ufafanuzi wa bafu katika Kiswahili

bafu

nominoPlural mabafu

  • 1

    chumba cha kuogea.

    maliwato, hamamu

  • 2

    beseni kubwa ambamo mtu huingia na kuoga.

Matamshi

bafu

/bafu/