Ufafanuzi wa baghami katika Kiswahili

baghami

nomino

  • 1

    mtu mwenye akili ndogo.

    mpumbavu, nyange, jura, juha, zuzu

Asili

Kar

Matamshi

baghami

/baɚami/