Ufafanuzi wa bahameli katika Kiswahili

bahameli, mahameli

nominoPlural bahameli

  • 1

    aina ya kitambaa laini ambacho upande mmoja kina nyuzi ndogondogo kama manyoya.

    kiludhu

Asili

Kar

Matamshi

bahameli

/bahamɛli/