Ufafanuzi msingi wa bahari katika Kiswahili

: bahari1bahari2bahari3

bahari1

nominoPlural bahari

 • 1

  eneo kubwa la maji ya chumvi linalozingira mabara na visiwa.

  ‘Bahari kuu’

 • 2

  kitu kikubwa.

Asili

Kar

Matamshi

bahari

/bahari/

Ufafanuzi msingi wa bahari katika Kiswahili

: bahari1bahari2bahari3

bahari2

kivumishi

 • 1

  -enye elimu au ujuzi mwingi au mkubwa.

Matamshi

bahari

/bahari/

Ufafanuzi msingi wa bahari katika Kiswahili

: bahari1bahari2bahari3

bahari3

nominoPlural bahari

kishairi
 • 1

  kishairi aina ya ushairi yenye sifa na tanzu mbalimbali k.v. ukawafi, kisarambe, n.k..

 • 2

  kishairi kina cha mwisho kisichobadilika katika utenzi mzima.

Asili

Kar

Matamshi

bahari

/bahari/