Ufafanuzi wa bahasa katika Kiswahili

bahasa

kivumishi

  • 1

    -a bei ndogo; -sio ghali.

    rahisi, chewale

Asili

Kar

Matamshi

bahasa

/bahasa/