Ufafanuzi wa bahati nasibu katika Kiswahili

bahati nasibu

nomino

  • 1

    bahati isiyojulikana hakika yake.

  • 2

    mchezo wa kujaribu bahati.

Asili

Kaj / Kar

Matamshi

bahati nasibu

/bahati nasibu/