Ufafanuzi wa bahatika katika Kiswahili

bahatika

kitenzi sielekezi

  • 1

    pata jambo jema; pata bahati.

Asili

Kaj / Kar

Matamshi

bahatika

/bahatika/