Ufafanuzi wa bahatisha katika Kiswahili

bahatisha

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    jaribu kupata jambo bila ya kujua matokeo yake.

    kisia, kadiria

Asili

Kaj/Kar

Matamshi

bahatisha

/bahati∫a/