Ufafanuzi wa bahatisho katika Kiswahili

bahatisho

nomino

  • 1

    tendo la kubahatisha.

    kisio

Asili

Kaj / Kar

Matamshi

bahatisho

/bahati∫ɔ/