Ufafanuzi msingi wa bahili katika Kiswahili

: bahili1bahili2

bahili1

nominoPlural bahili

 • 1

  mtu anayebania pesa au mali yake.

  methali ‘Mali ya bahili huliwa na wadudu’
  mchoyo, msira, kisangati

Ufafanuzi msingi wa bahili katika Kiswahili

: bahili1bahili2

bahili2

kivumishi

 • 1

  -enye choyo.

  kabidhi, mtu mgumu, -gumu

Asili

Kar

Matamshi

bahili

/bahili/