Ufafanuzi wa bai katika Kiswahili

bai

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    chagua mtu na kumpa uongozi.

  • 2

    unga mkono mtu kwa kitendo anachotaka kufanya.

Asili

Kar

Matamshi

bai

/baji/