Ufafanuzi msingi wa baidi katika Kiswahili

: baidi1baidi2

baidi1

kielezi

 • 1

  masafa marefu.

  ‘Anakaa baidi na hapa’
  mbali

Asili

Kar

Matamshi

baidi

/baIdi/

Ufafanuzi msingi wa baidi katika Kiswahili

: baidi1baidi2

baidi2

kivumishi

 • 1

  -a mbali, si ndugu.

  ‘Huyu si ndugu yetu, ni mtu baidi’

Matamshi

baidi

/baIdi/